Karibu Parokia ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu-Mbezi Mwisho

Ni Wakati wa Ujenzi: Najenga Imani Yangu, Najenga Familia Yangu, Najenga Kanisa Langu.

Jubilei 2025, Mahujaji wa Matumaini.

Masomo ya Siku

July 7, 2025

Daily Reading Illustration

Psalm 23:1

The Lord is my shepherd; I shall not want.

Mtakatifu wa Siku

July 7

Saint of the Day

Check back later for today's saint.

Ratiba za Misa Takatifu na Ofisi

Ratiba za Misa Takatifu

Sunday

  • 11:30 Asubuhi
  • 12:30 Asubuhi
  • 02:30 Asubuhi
  • 10:00 Jioni

Weekday

  • 12:30 Asubuhi
  • Kuabudu Kila Alhamisi, Saa 11:00 Jioni

Muda wa Maungamo

Jumatatu hadi Ijumaa

  • 12:00 - 12:30 Asubuhi

Muda wa Huduma za Ofisi

Jumatatu - Ijumaa

  • 02:00 Asubuhi - 11:00 Jioni, Jumamosi saa 03:00 Asubuhi - 09:00 Alasiri
  • JUMATANO HAKUNA HUDUMA ZA OFISI

Matukio yajayo

Ungana Nasi katika Matukio Yetu ya Kiparokia

No upcoming events scheduled

View all events →

Parish Gallery

Moments from our faith community

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA NYUMA WA RAMANI YA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA NYUMA WA RAMANI YA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

MUONEKANO WA KANISA JIPYA

logo

logo

see

Vyama vya Kitume

Jiunge Nasi katika Vyama Vyetu vya Kitume

KARISMATIKI

Debora Simon (Mwenyekiti) - 0743058580
Kila Jumapili baada ya Misa ya Tatu, saa 04:30 Asubuhi

LEGIO MARIA

Tasiana Fabian (Mwenyekiti) - 0716566563

MOYO MTAKATIFU WA YESU

Jackline Nkya (Mwenyekiti) - 0784716740
UWAKA

UWAKA

Wanaume Wakatoliki

Augustino Hotay (Mwenyekiti) - 0754564668
Mazoezi ya kwaya kila Jumatano na Ijumaa, saa 01:00
VIWAWA

VIWAWA

VIJANA WAKATOLIKI

Gaudence Mvungi (Mwenyekiti) - 0656768609
Jumuiya ya Vijana kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi, saa 12:30 Asubuhi.
WAWATA

WAWATA

Wanawake Wakatoliki

Stella Rwegasira (Mwenyekiti) - 0713306446

Changia Parokia Yetu

Mchango wako unatusaidia kuendelea kuitumikia Jumuiya ndani na nje ya mipaka ya Parokia.